Makala

HATA HILI LITAPITA

HATA HILI LITAPITA

Imewekwa na Hussein Molito - November 2, 2018

HATA HILI LITAPITA

Katika maisha hua tunapitia mambo mengi sana mazito yakukatisha tamaa. ila usikubali mambo hayo hayaribu mfumo mzima wa maisha yao. kuna njia nyingi za kuyakabili mazito yanayokukabili.

Mungu kaleta magonjwa na dawa zake. huenda huenda dawa ikachelewa ila ni lazima ipatikane kwa wenye ni...

Soma Zaidi
MUACHE AENDE

MUACHE AENDE

Imewekwa na Hussein Molito - November 1, 2018

(MUACHE AENDE )

Ule muda wa kulia na kusononeka na moyo wako hadi kufikia kupoteza uzito kwenye mwili wako kwa sababu ya kiumbe ambaye ulimpa moyo hapo awali kipindi alipokuja na matabasamu sita yaashiriayo upendo wake uliojaa kwenye moyo wake kubadilika na kuwa adhabu huru inayokuumiza kiila siku. 

Sasa inabidi upige mo...

Soma Zaidi
Fungua Makala zaidi