HILA

HILA

Imeandaliwa na:  George Mosenya
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Upelelezi
Ukubwa : 331.89 kB

Umri wao ulikuwa unakimbilia miaka ishirini na nane upande wa mwanaume na ishirini na tano kwa mwanamke, lakini sasa walikuwa wamegeuka kama watoto wadogo, walikuwa wanakimbizana katika chumba kile kikubwa cha haja huku wakipondana kwa kutumia mito na mashuka meupe sana yaliyojitangaza kuwa ni masafi huku yakiwaumbua na kuwafanya kunguni waone haya kukaa juu yake. PAKUA STORI HII USOME YOTE....