SHILINGI (Mwanzo, Kati na Mwisho 1-3

SHILINGI (Mwanzo, Kati na Mwisho 1-3

Imeandaliwa na:  George Mosenya
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Maisha
Ukubwa : 48.85 kB

Katika kijiji cha ULONGONI, katikati ya dhiki kuu, inatokea bahati ya mtende. Kabla bahati hii haijawa na faida kwa jamii inageuka kuwa LAANA..... Karibu katika mkasa huu utakaokuonyesha uhalisia wa maisha ya daraja la chini kabisa