Katika jaribio lake la mwisho Titus HoneyBee anaangukia pabaya... na kadiri anavyozidi kuishi na siri anazua tatizo jingine jipya..... Awali lilikuwa tatizo lake, kisha likawa lake na Sophia, sasa ni tatizo lake, Sophia, na mtoto Sonia limemwangukia