TWO FACE (SURA MBILI)

TWO FACE (SURA MBILI)

Imeandaliwa na:  Amosi Mpigauzi
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Mapenzi
Ukubwa : 74.99 kB

Katikati ya pori lililokuwa likiogopwa na viumbe hai hadi wale waliokufa, alikuwepo kijana mmoja ambae alikuwa amejiinamia chini akilia kwa uchungu mkubwa sana, kijana ambaye alikuwa na nywele ndefu sana ambazo zilikuwa hazihudumiwi, kucha ndefu sana, nguo zilizoraluliwa na macho yaliyokuwa yakingaa kama macho ya paka amulikwapo na tochi usiku, Mwilini akiwa ametapakaa damu nyeusi iliyogandamana katika mwili wake, kuonesha kuwa au ametoka kuua muda si mrefu, au ameumizwa vibaya sana. Je kijana huyo ni nani? Na amepatwa na nini? Songa na hadithi hii ya kusisimua iliyo na mafunzo, mambo ya gizani, visasi na mapenzi.