TIA YOTE Vol 1

TIA YOTE Vol 1

Imeandaliwa na:  Gaooh Mussah
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Chombezo
Ukubwa : 181.85 kB

Nikiwa mmoja ya wanafunzi wa shule ya sekondari. Siku moja mwalimu wetu wa darasa alikuja na mwanafunzi mgeni ambae ndio aliingia shule, na kuwekwa darasa letu la kidato cha tatu D. Aliletwa mbele na kutambulishwa kwa jina la Grace, jina lake lilikuwa zuri sana ambalo hata nilipo lisikia moyo wangu uliteta kwa furaha. Jina lake linaweza kumvutia mwanaume yeyote yule. Sio jina tu, hata yeye ni mzuri pia! Tizama mcho yake yalivyo makubwa, rangi ya ugoro, yenye mboni ya rangi nyeusi ya kuiva. Ona midomo yake minene, tizama na nyusi zake nyeusi zilizochongwa vizuri na kumfanya Grace kunivutia. Nilimpenda bure Grace japo hanijui ila jina lako lilijaa moyoni mwangu. Siku moja baada ya yeye kuletwa darasani nilianza mbwembwe za kujipitisha pale alipo kaa. "Mambo Grace"nilimsalimia kwa uchangamfu hapo nikiwa na wazo la kumuopoa. Alinitizama kwa muda na jicho lake la mkonyezo hapo alinimaliza kabisa hata dushelele yangu ilisimama kwa muda kuangalia mazingira. "Pooah"alijibu Grace kwa kunikonyeza, na kuachia tabasamu pana lililozidi kumpendezesha kwa kutoa vishimo vidogo dogo kwenye mashavu yake. Nilishindwa hata kuendelea nikitafakari uzuri wa Grace ambae darasa zima hakuna, nilijiaminisha hivyo kwa kuwa ni mtu mpya kumuona katika upeo wa macho yangu. Nikiwa pale namtazama kwa mapozi aliokuwa akiniletea hapo mwalimu akaingia,niliamka nilipokuwa nimekaa na kuondoka haraka kabla haijakuwa ishu. Mwalimu alianza kufundisha somo lile la hisabati ambalo sikulipenda hata kidogo muda wote nilimaliza kumtazama Grace. Nilijikita kitazama uzuri wa Grace. Hasa shape yake hata pale alipokaa hakutosha tayari makalio yalijaza kiti, nilitazama na kasketi kake kafupi kanako karibia kupita magoti. Tukio lile mwalimu aliniona japo hakujua naangalia wapi. "Weee gao"mwalimu aliniita na kunipiga na chaki hapo nikastuka "Abeeeeh sir"niliitika bila kujua. Kitendo kile kikawaacha wanafunzi wote mdomo wazi kwa kucheka. "Njoo hapa ndio unaitika vipi kama mwanamke"aling'aka mwalimu hapo nikajisogeza mbele kinyonge. "Piga magoti hapa nafundisha wewe haupo darasani"aliniambia hapo nikabaki kimya tu. Mwalimu akiendelea kufundisha bado haikuwa sababu ya mimi kuacha kumtazama Grace nilizidi kumtazama. Tena nilimwona vizuri na miwani ya macho aliyovalia iliyompendezesha zaidi. Somo la siku hiyo lilinipita kabisa hadi muda wa kutoka sina nilichosoma siku hiyo. NAAAM PAKUA SASA BURE UJISOMEE BURUDANI HII YA KIPEKEEE ITAKAYOKUACHA MDOMO WAZI UKITAMANI ISIISHE. ZAMA NDANI UENDELEEE