SHUJAA vol .1

SHUJAA vol .1

Imeandaliwa na:  Hassan Mambosasa
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Maisha
Ukubwa : 563.11 kB

Kijana Moses Lawrence Gawaza, mtoto wa mwanasayansi mkubwa sana nchini. Anaondokewa na baba yake akiwa ameacha virusi hatari ambavyo vinasakwa na gaidi hatari kutoka barani Ulaya. Uhatari wa virusi hao unapelekea Moses awindwe na kundi la gaidi huyo Upande mwingine Moses anajikuta akizama mapenzini na mtoto wa kihaya Beautrice Bernard, penzi lao linaingia vita kubwa mno kutoka kwa ndugu wawili wenye kiu ya kuona wakitengena ili waweze kufurahisha nafsi zao. Mwishowe Moses anafikwa na mazito, ila anafanikiwa kujikomboa.