M.V. STRIDER

M.V. STRIDER

Imeandaliwa na:  Kalmas Konzo
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Upelelezi
Ukubwa : 85.26 kB

Meli kubwa na ya kifahari ijulikanayo kama M.V. Strider inatekwa ikiwa imepakiwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kano. Miongoni mwa mateka hao yupo mtoto wa Rais wa Bantu mheshimiwa Ibrahim Mwakilaba. Code 001 Inspekta Tom akiwa na kampani yake ya Amina na Hashim anapewa jukumu la kuwaokoa mateka hao. Je, atafanikiwa? Yote utayapata katika simulizi hii ya kibabe. Pakua sasa na uufaidi uhondo wa kukata na shoka.