VURUMAI

VURUMAI

Imeandaliwa na:  Kalmas Konzo
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Upelelezi
Ukubwa : 428.90 kB

Mchungaji Solomon ni mchungaji ambaye anajihusisha na matendo mengi sana maovu akiwa amejivika mwamvuli wa dini. Matendo hayo ni kama vile ujambazi, mauaji, biashara ya madawa ya kulevya na silaha. Mchungaji Solomon anapanga kuiangusha serikali ya Bantu ili yeye ashike hatamu za uongozi wan chi hiyo. Mchungaji Solomon anamkodi mwuaji matata kutoka Moscow aitwaye Angela Kwong ili aweze kumwua afisa usalama namba moja wa Taifa Inspekta Tom Green ili mipango yake ya mapinduzi isiwe na kikwazo. Je, mchungaji Solomon atafanikiwa katika adhma yake hiyo? Je, Inspekta Tom Green atauawa? Pata uhondo wa simulizi hii iliyojaa taharuki mwanzo mwisho. Pakua sasa na ufahidi.