MUATHIRIKA

MUATHIRIKA

Imeandaliwa na:  Iddi Siraji
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Maisha
Ukubwa : 18.64 kB

SIMULIZI : MUATHIRIKA Kwanza huanza mshtuko wa moyo pale unapopokea taarifa kwamba unamaambukizi ya virusi vya ukimwi hofu hukutawala kisha hupoteza tumaini na furaha ukijiona ni mtu wa kufa muda sio wowote na pengine kwa kupoteza tumaini basi huamua kusambaza maambukizi katika jamii ili nawe uondoke na watu wako .... Mungu azilaze mahali pema roho za marehemu walio poteza uhai wao katika mkasa huu wa MUATHIRIKA, malaika wa faraja awafute machozi na kuwapa furaha watu wote wanaoishi na maambukizi ya ukimwi. Mpenzi msomaji kupata ukimwi sio mwisho wa maisha yako lakini jihadhari ukimwi unaua....