CHOZI LA MILELE

CHOZI LA MILELE

Imeandaliwa na:  Iddi Siraji
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Maisha
Ukubwa : 17.11 kB

SIMULIZI: CHOZI LA MILELE. Binadamu unapozaliwa tu uhai wako na amani yako huishi kwenye mikono ya mama alie kuzaa japo mungu anakuwa ndio mlizi mkuu wa maisha yako. Mama anapo amua kukufupishia uhai wako anaweza kutimiza kwa dakika chache haijalishi kwa kukupa sumu au kuziba pumzi kwa muda mrefu hii itategemea ni jinsi gani amekusudia kukufupishia uhai . Wasichana wengi huchukua jukumu la kuharibu na kuzitoa mimba zao zinapokuwa changa kwa msukumo wa mazingira yaliyo mpelekea kupata mimba ile ama kwa sababu ya ugumu wa maisha na mazingira magumu anayo ishi,. Wasicha wengine huenda mbali na kufanya maamuzi magumu pale anapo ilea mimba miezi tisa na kujifungua salama baada ya hapo humtupa mtoto na kumuacha mazingira hatarishi nae anaondoka na kutokomea, hufumba macho na kuya sahau mateso ya kutunza mimba ndani ya miezi tisa na yale machungu ya kujifungua . Sijui ni ujasiri gani wanao utumia akina mama au ni roho mbaya kiasi gani wanayo kuwa nayo wakati ule wanapo watupa watoto walio wazaa wenyewe tena kwa uchungu....na sikitika sana kwani hata mama yangu alinitupa nikiwa mtoto mdogo mchanga akiniacha mazingira hatarishi . Mungu msamehe mama yangu na wanawake wote wanao toa mimba na kuwatupa watoto.... Mimi ni Baraka matata. CHOZI LA MILELE ni simulizi fupi yenye fundisho iliotungwa na ndugu Iddi siraji. simulizi hii itawafakia hapa mapema namtaisoma yote kwa pamoja.