MCHUMIA JANGA

MCHUMIA JANGA

Imeandaliwa na:  George Mosenya
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Upelelezi
Ukubwa : 116.87 kB

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchini Tanzania, mrembo wa Tanzania anatwaa taji la urembo wa dunia. Lakini katika usiku wa tukio hili la kipekee yanatokea mengine mawili ya kustaajabisha, waziri wa mambo ya nje anakutwa mahali akiwa amepoteza uhai kwa kujinyonga, pia mwandishi mahiri wa riwaya nchini Tanzania anarukwa na akili asijue hata aliwahi kuwa mahiri...... Kurasa za simulizi zake zinazua balaa..... Tukio hili linaambatana na kifo cha mrembo wa dunia hata kabla hajarejea nchini... GEZA ULOLE mwanaharakati kutoka Mwanza vijijini analivalia njuga suala hili na kuamua kufunga safari hadi Dar es salaam..... Huku anajikuta AMECHUMA JANGA KUBWA kupindukia..... anabaki kupambana aujue ukweli... ANZA UKURASA WA KWANZA KISHA HATUA KWA HATUA TWENDE HADI MWISHO.....