MZIMU WA BABU

MZIMU WA BABU

Imeandaliwa na:  TEDDY
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Uchawi
Ukubwa : 286.95 kB

Nilishuka ndani ya ungo mara baada ya kufika eneo sahihi ambalo nilitakiwa niende , niliyaruhusu macho yangu kuangaza huku na huko , kisha nikaaza kutembea kwa mwendo wa polepole usio na woga , kuuendee mti mkubwa wa muembe uliokuwa uwanjani hapo , nikiwa hapo nilijibadiri na kuwa paka , kisha nilikimbia kuelekea ndani ya jiko dogo ambalo lilikuwa halina mlango. “Nyauuu… nyauuu,“ ENDELEA KUFUATILIA MKASA HUU KWA KUPAKUA HADITHI YAKO SASA