MALAIKA WA SHETANI

MALAIKA WA SHETANI

Imeandaliwa na:  PAUL BEN MTOBWA
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Uchawi
Ukubwa : 54.80 kB

John david maganga ni mtoto wa kwanza wa familia ya mzee maganga,alizaliwa kwenye ukoo wa kitajiri na kupewa kila alichihitaji na wazazi wake.kimuonekano john alikuwa ni mzuri wa sura na mcheshi wa tabia hasa kwenye maongezi pia utulivu wake ni moja kati ya sifa ambayo watu wengi waliipenda huku wasichana wakihihuhusudu sana.jonh alipofikisha umri wa miaka kumi na sita aliondokea kuwa na vipaji lukuki ambavyo vilimpa sifa na kutukuzwa sana shuleni na ata mtaani,umbo lake kubwa lililomruhusu kucheza basketball na ata kununuliwa kwa dau kubwa ulaya, wepesi wake na umakini awapo uwanjani ulimfanya ulimfanya aitwe cristiano ronaldo na baadhi ya wasichana. PAKUA STORI HII ILI UENDELEE.....