BARA HINDI

BARA HINDI

Imeandaliwa na:  Swedi shaury
Gharama (TSHS.) : FREE
Kundi : Chombezo
Ukubwa : 239.32 kB

Nilipanda kwenye daladala na kuchukua siti yangu ili nipoze uchovu niliokuwa nao baada ya kazi ngumu niliyokuwa naifanya kiwanda cha mabati pale Tazara kinachoitwa ALAF COMPANY.Gari zilizokuwa zinaelekea magomeni zilikuwa zimejaa kupita kiasi na watu ndani tulikuwa tumefinyana vya kutosha,kila mmoja jasho nililikuwa linatililika mgongoni mpaka sehemu fulani ya chini,kwa pembeni ya siti yangu alikuwa Msichana mrembo aliyekuwa anachezea simu yake....BOFYA PAKUA UENDELEE NA MKAA HUU.