Kutuhusu

Kutuhusu


Tunakuletea Hadithi nzuri karibu yako...

HadithiApp Ni application maalumu inayowakusanya waandishi mbalimbali uwapendao na kuwaweka pamoja ili kukupatia kile kilicho bora. Hapa utasoma riwaya,makala,chombezo na hadithi za mbalimbali za kuvutia na kusisimua. Pia utasikiliza simulizi za sauti zilizosimuliwa na wasimulizi bora kabisa Tanzania. HadithiApp. Burudani Timilifu.